Psalms 24:8

8 aNi nani huyu Mfalme wa utukufu?
Ni Bwana aliye na nguvu na uweza,
ni Bwana aliye hodari katika vita.
Copyright information for SwhNEN